blob: 99c083716f0f536fe91173b8b549515110e3b16c [file] [log] [blame]
{
"demoOptionsFeatureTitle": "Angalia chaguo",
"demoOptionsFeatureDescription": "Gusa hapa ili uangalie chaguo zinazopatikana kwa onyesho hili.",
"demoCodeViewerCopyAll": "NAKILI YOTE",
"shrineScreenReaderRemoveProductButton": "Ondoa {product}",
"shrineScreenReaderProductAddToCart": "Ongeza kwenye kikapu",
"shrineScreenReaderCart": "{quantity,plural, =0{Kikapu, hakuna bidhaa}=1{Kikapu, bidhaa 1}other{Kikapu, bidhaa {quantity}}}",
"demoCodeViewerFailedToCopyToClipboardMessage": "Imeshindwa kuyaweka kwenye ubao wa kunakili: {error}",
"demoCodeViewerCopiedToClipboardMessage": "Imewekwa kwenye ubao wa kunakili.",
"craneSleep8SemanticLabel": "Magofu ya Maya kwenye jabali juu ya ufuo",
"craneSleep4SemanticLabel": "Hoteli kando ya ziwa na mbele ya milima",
"craneSleep2SemanticLabel": "Ngome ya Machu Picchu",
"craneSleep1SemanticLabel": "Nyumba ndogo ya kupumzika katika mandhari ya theluji yenye miti ya kijani kibichi",
"craneSleep0SemanticLabel": "Nyumba zisizo na ghorofa zilizojengwa juu ya maji",
"craneFly13SemanticLabel": "Bwawa lenye michikichi kando ya bahari",
"craneFly12SemanticLabel": "Bwawa lenye michikichi",
"craneFly11SemanticLabel": "Mnara wa taa wa matofali baharini",
"craneFly10SemanticLabel": "Minara ya Msikiti wa Al-Azhar wakati wa machweo",
"craneFly9SemanticLabel": "Mwanaume aliyeegemea gari la kale la samawati",
"craneFly8SemanticLabel": "Kijisitu cha Supertree",
"craneEat9SemanticLabel": "Kaunta ya mkahawa yenye vitobosha",
"craneEat2SemanticLabel": "Baga",
"craneFly5SemanticLabel": "Hoteli kando ya ziwa na mbele ya milima",
"demoSelectionControlsSubtitle": "Visanduku vya kuteua, vitufe vya mviringo na swichi",
"craneEat10SemanticLabel": "Mwanamke aliyeshika sandiwichi kubwa ya pastrami",
"craneFly4SemanticLabel": "Nyumba zisizo na ghorofa zilizojengwa juu ya maji",
"craneEat7SemanticLabel": "Mlango wa kuingia katika tanuri mikate",
"craneEat6SemanticLabel": "Chakula cha uduvi",
"craneEat5SemanticLabel": "Eneo la kukaa la mkahawa wa kisanii",
"craneEat4SemanticLabel": "Kitindamlo cha chokoleti",
"craneEat3SemanticLabel": "Taco ya Kikorea",
"craneFly3SemanticLabel": "Ngome ya Machu Picchu",
"craneEat1SemanticLabel": "Baa tupu yenye stuli za muundo wa behewa",
"craneEat0SemanticLabel": "Piza ndani ya tanuri la kuni",
"craneSleep11SemanticLabel": "Maghorofa ya Taipei 101",
"craneSleep10SemanticLabel": "Minara ya Msikiti wa Al-Azhar wakati wa machweo",
"craneSleep9SemanticLabel": "Mnara wa taa wa matofali baharini",
"craneEat8SemanticLabel": "Sahani ya kamba wa maji baridi",
"craneSleep7SemanticLabel": "Nyumba maridadi katika Mraba wa Riberia",
"craneSleep6SemanticLabel": "Bwawa lenye michikichi",
"craneSleep5SemanticLabel": "Hema katika uwanja",
"settingsButtonCloseLabel": "Funga mipangilio",
"demoSelectionControlsCheckboxDescription": "Visanduku vya kuteua humruhusu mtumiaji kuteua chaguo nyingi kwenye seti. Thamani ya kawaida ya kisanduku cha kuteua ni ndivyo au saivyo na thamani ya hali tatu ya kisanduku cha kuteua pia inaweza kuwa batili.",
"settingsButtonLabel": "Mipangilio",
"demoListsTitle": "Orodha",
"demoListsSubtitle": "Miundo ya orodha za kusogeza",
"demoListsDescription": "Safu wima moja ya urefu usiobadilika ambayo kwa kawaida ina baadhi ya maandishi na pia aikoni ya mwanzoni au mwishoni.",
"demoOneLineListsTitle": "Mstari Mmoja",
"demoTwoLineListsTitle": "Mistari Miwili",
"demoListsSecondary": "Maandishi katika mstari wa pili",
"demoSelectionControlsTitle": "Vidhibiti vya kuteua",
"craneFly7SemanticLabel": "Mlima Rushmore",
"demoSelectionControlsCheckboxTitle": "Kisanduku cha kuteua",
"craneSleep3SemanticLabel": "Mwanaume aliyeegemea gari la kale la samawati",
"demoSelectionControlsRadioTitle": "Redio",
"demoSelectionControlsRadioDescription": "Vitufe vya mviringo humruhusu mtumiaji kuteua chaguo moja kwenye seti. Tumia vitufe vya mviringo kwa uteuzi wa kipekee ikiwa unafikiri kuwa mtumiaji anahitaji kuona chaguo zote upande kwa upande.",
"demoSelectionControlsSwitchTitle": "Swichi",
"demoSelectionControlsSwitchDescription": "Swichi za kuwasha/kuzima hugeuza hali ya chaguo moja la mipangilio. Chaguo ambalo swichi inadhibiti na pia hali ambayo chaguo hilo limo inafaa kubainishwa wazi kwenye lebo inayolingana na maandishi.",
"craneFly0SemanticLabel": "Nyumba ndogo ya kupumzika katika mandhari ya theluji yenye miti ya kijani kibichi",
"craneFly1SemanticLabel": "Hema katika uwanja",
"craneFly2SemanticLabel": "Bendera za maombi mbele ya mlima uliofunikwa kwa theluji",
"craneFly6SemanticLabel": "Mwonekeno wa juu wa Palacio de Bellas Artes",
"rallySeeAllAccounts": "Angalia akaunti zote",
"rallyBillAmount": "Bili ya {amount} ya {billName} inapaswa kulipwa {date}.",
"shrineTooltipCloseCart": "Funga kikapu",
"shrineTooltipCloseMenu": "Funga menyu",
"shrineTooltipOpenMenu": "Fungua menyu",
"shrineTooltipSettings": "Mipangilio",
"shrineTooltipSearch": "Tafuta",
"demoTabsDescription": "Vichupo hupanga maudhui kwenye skrini tofauti, seti za data na shughuli zingine.",
"demoTabsSubtitle": "Vichupo vyenye mionekano huru inayoweza kusogezwa",
"demoTabsTitle": "Vichupo",
"rallyBudgetAmount": "Bajeti ya {budgetName} yenye {amountUsed} ambazo zimetumika kati ya {amountTotal}, zimesalia {amountLeft}",
"shrineTooltipRemoveItem": "Ondoa bidhaa",
"rallyAccountAmount": "Akaunti ya {accountName} {accountNumber} iliyo na {amount}.",
"rallySeeAllBudgets": "Angalia bajeti zote",
"rallySeeAllBills": "Angalia bili zote",
"craneFormDate": "Chagua Tarehe",
"craneFormOrigin": "Chagua Asili",
"craneFly2": "Bonde la Khumbu, NepalI",
"craneFly3": "Machu Picchu, Peruu",
"craneFly4": "Malé, Maldives",
"craneFly5": "Vitznau, Uswisi",
"craneFly6": "Jiji la Meksiko, Meksiko",
"craneFly7": "Mount Rushmore, Marekani",
"settingsTextDirectionLocaleBased": "Kulingana na lugha",
"craneFly9": "Havana, Kuba",
"craneFly10": "Kairo, Misri",
"craneFly11": "Lisbon, Ureno",
"craneFly12": "Napa, Marekani",
"craneFly13": "Bali, Indonesia",
"craneSleep0": "Malé, Maldives",
"craneSleep1": "Aspen, Marekani",
"craneSleep2": "Machu Picchu, Peruu",
"demoCupertinoSegmentedControlTitle": "Udhibiti wa Vikundi",
"craneSleep4": "Vitznau, Uswisi",
"craneSleep5": "Big Sur, Marekani",
"craneSleep6": "Napa, Marekani",
"craneSleep7": "Porto, Ureno",
"craneSleep8": "Tulum, Meksiko",
"craneEat5": "Seoul, Korea Kusini",
"demoChipTitle": "Chipu",
"demoChipSubtitle": "Vipengee vilivyoshikamana vinavyowakilisha ingizo, sifa au kitendo",
"demoActionChipTitle": "Chipu ya Kutenda",
"demoActionChipDescription": "Chipu za kutenda ni seti ya chaguo zinazosababisha kitendo kinachohusiana na maudhui ya msingi. Chipu za kutenda zinafaa kuonekana kwa urahisi na kwa utaratibu katika kiolesura.",
"demoChoiceChipTitle": "Chipu ya Kuchagua",
"demoChoiceChipDescription": "Chipu za kuchagua zinawakilisha chaguo moja kwenye seti. Chipu za kuchagua zina aina au maandishi ya ufafanuzi yanayohusiana.",
"demoFilterChipTitle": "Chipu ya Kichujio",
"demoFilterChipDescription": "Chipu za kuchuja hutumia lebo au maneno ya ufafanuzi kama mbinu ya kuchuja maudhui.",
"demoInputChipTitle": "Chipu ya Kuingiza",
"demoInputChipDescription": "Chipu za kuingiza huwakilisha taarifa ya kina, kama vile huluki (mtu, mahali au kitu) au maandishi ya mazungumzo katika muundo wa kushikamana.",
"craneSleep9": "Lisbon, Ureno",
"craneEat10": "Lisbon, Ureno",
"demoCupertinoSegmentedControlDescription": "Hutumika kuchagua kati ya chaguo kadhaa za kipekee. Chaguo moja katika udhibiti wa vikundi ikichaguliwa, chaguo zingine katika udhibiti wa vikundi hazitachaguliwa.",
"chipTurnOnLights": "Washa taa",
"chipSmall": "Ndogo",
"chipMedium": "Wastani",
"chipLarge": "Kubwa",
"chipElevator": "Lifti",
"chipWasher": "Mashine ya kufua nguo",
"chipFireplace": "Mekoni",
"chipBiking": "Kuendesha baiskeli",
"craneFormDiners": "Migahawa",
"rallyAlertsMessageUnassignedTransactions": "{count,plural, =1{Ongeza kiwango cha kodi unayoweza kupunguziwa! Weka aina kwenye muamala 1 ambao hauna aina.}other{Ongeza kiwango cha kodi unayoweza kupunguziwa! Weka aina kwenye miamala {count} ambayo haina aina.}}",
"craneFormTime": "Chagua Wakati",
"craneFormLocation": "Chagua Eneo",
"craneFormTravelers": "Wasafiri",
"craneEat8": "Atlanta, Marekani",
"craneFormDestination": "Chagua Unakoenda",
"craneFormDates": "Chagua Tarehe",
"craneFly": "RUKA",
"craneSleep": "HALI TULI",
"craneEat": "KULA",
"craneFlySubhead": "Gundua Ndege kwa Kutumia Vituo",
"craneSleepSubhead": "Gundua Mali kwa Kutumia Vituo",
"craneEatSubhead": "Gundua Mikahawa kwa Kutumia Vituo",
"craneFlyStops": "{numberOfStops,plural, =0{Moja kwa moja}=1{Kituo 1}other{Vituo {numberOfStops}}}",
"craneSleepProperties": "{totalProperties,plural, =0{Hakuna Mali Inayopatikana}=1{Mali 1 Inayopatikana}other{Mali {totalProperties} Zinazopatikana}}",
"craneEatRestaurants": "{totalRestaurants,plural, =0{Hakuna Mikahawa}=1{Mkahawa 1}other{Mikahawa {totalRestaurants}}}",
"craneFly0": "Aspen, Marekani",
"demoCupertinoSegmentedControlSubtitle": "Udhibiti wa vikundi vya muundo wa iOS",
"craneSleep10": "Kairo, Misri",
"craneEat9": "Madrid, Uhispania",
"craneFly1": "Big Sur, Marekani",
"craneEat7": "Nashville, Marekani",
"craneEat6": "Seattle, Marekani",
"craneFly8": "Singapoo",
"craneEat4": "Paris, Ufaransa",
"craneEat3": "Portland, Marekani",
"craneEat2": "Córdoba, Ajentina",
"craneEat1": "Dallas, Marekani",
"craneEat0": "Naples, Italia",
"craneSleep11": "Taipei, Taiwani",
"craneSleep3": "Havana, Kuba",
"shrineLogoutButtonCaption": "ONDOKA",
"rallyTitleBills": "BILI",
"rallyTitleAccounts": "AKAUNTI",
"shrineProductVagabondSack": "Mfuko wa mgongoni",
"rallyAccountDetailDataInterestYtd": "Riba ya Mwaka hadi leo",
"shrineProductWhitneyBelt": "Mshipi wa Whitney",
"shrineProductGardenStrand": "Garden strand",
"shrineProductStrutEarrings": "Herini",
"shrineProductVarsitySocks": "Soksi za Varsity",
"shrineProductWeaveKeyring": "Pete ya ufunguo ya Weave",
"shrineProductGatsbyHat": "Kofia ya Gatsby",
"shrineProductShrugBag": "Mkoba",
"shrineProductGiltDeskTrio": "Vifaa vya dawatini",
"shrineProductCopperWireRack": "Copper wire rack",
"shrineProductSootheCeramicSet": "Vyombo vya kauri vya Soothe",
"shrineProductHurrahsTeaSet": "Vyombo vya chai",
"shrineProductBlueStoneMug": "Magi ya Blue stone",
"shrineProductRainwaterTray": "Trei ya maji",
"shrineProductChambrayNapkins": "Kitambaa cha Chambray",
"shrineProductSucculentPlanters": "Mimea",
"shrineProductQuartetTable": "Meza",
"shrineProductKitchenQuattro": "Kitchen quattro",
"shrineProductClaySweater": "Sweta ya Clay",
"shrineProductSeaTunic": "Sweta ya kijivu",
"shrineProductPlasterTunic": "Gwanda la Plaster",
"rallyBudgetCategoryRestaurants": "Mikahawa",
"shrineProductChambrayShirt": "Shati ya Chambray",
"shrineProductSeabreezeSweater": "Sweta ya Seabreeze",
"shrineProductGentryJacket": "Jaketi ya ngozi",
"shrineProductNavyTrousers": "Suruali ya buluu",
"shrineProductWalterHenleyWhite": "Fulana ya vifungo (nyeupe)",
"shrineProductSurfAndPerfShirt": "Shati ya Surf and perf",
"shrineProductGingerScarf": "Skafu ya Ginger",
"shrineProductRamonaCrossover": "Blauzi iliyofunguka kidogo kifuani",
"shrineProductClassicWhiteCollar": "Blauzi nyeupe ya kawaida",
"shrineProductSunshirtDress": "Nguo",
"rallyAccountDetailDataInterestRate": "Kiwango cha Riba",
"rallyAccountDetailDataAnnualPercentageYield": "Asilimia ya Mapato kila Mwaka",
"rallyAccountDataVacation": "Likizo",
"shrineProductFineLinesTee": "Fulana yenye milia",
"rallyAccountDataHomeSavings": "Akiba ya Nyumbani",
"rallyAccountDataChecking": "Inakagua",
"rallyAccountDetailDataInterestPaidLastYear": "Riba Iliyolipwa Mwaka Uliopita",
"rallyAccountDetailDataNextStatement": "Taarifa Inayofuata",
"rallyAccountDetailDataAccountOwner": "Mmiliki wa Akaunti",
"rallyBudgetCategoryCoffeeShops": "Maduka ya Kahawa",
"rallyBudgetCategoryGroceries": "Maduka ya vyakula",
"shrineProductCeriseScallopTee": "Fulana ya Cerise",
"rallyBudgetCategoryClothing": "Mavazi",
"rallySettingsManageAccounts": "Dhibiti Akaunti",
"rallyAccountDataCarSavings": "Akiba ya Gari",
"rallySettingsTaxDocuments": "Hati za Kodi",
"rallySettingsPasscodeAndTouchId": "Nambari ya siri na Touch ID",
"rallySettingsNotifications": "Arifa",
"rallySettingsPersonalInformation": "Taarifa Binafsi",
"rallySettingsPaperlessSettings": "Mipangilio ya Kutotumia Karatasi",
"rallySettingsFindAtms": "Tafuta ATM",
"rallySettingsHelp": "Usaidizi",
"rallySettingsSignOut": "Ondoka",
"rallyAccountTotal": "Jumla",
"rallyBillsDue": "Zinahitajika mnamo",
"rallyBudgetLeft": "Kushoto",
"rallyAccounts": "Akaunti",
"rallyBills": "Bili",
"rallyBudgets": "Bajeti",
"rallyAlerts": "Arifa",
"rallySeeAll": "ANGALIA YOTE",
"rallyFinanceLeft": "KUSHOTO",
"rallyTitleOverview": "MUHTASARI",
"shrineProductShoulderRollsTee": "Fulana ya mikono",
"shrineNextButtonCaption": "ENDELEA",
"rallyTitleBudgets": "BAJETI",
"rallyTitleSettings": "MIPANGILIO",
"rallyLoginLoginToRally": "Ingia katika programu ya Rally",
"rallyLoginNoAccount": "Huna akaunti?",
"rallyLoginSignUp": "JISAJILI",
"rallyLoginUsername": "Jina la mtumiaji",
"rallyLoginPassword": "Nenosiri",
"rallyLoginLabelLogin": "Ingia katika akaunti",
"rallyLoginRememberMe": "Nikumbuke",
"rallyLoginButtonLogin": "INGIA KATIKA AKAUNTI",
"rallyAlertsMessageHeadsUpShopping": "Arifa: umetumia {percent} ya bajeti yako ya Ununuzi kwa mwezi huu.",
"rallyAlertsMessageSpentOnRestaurants": "Umetumia {amount} kwenye Mikahawa wiki hii.",
"rallyAlertsMessageATMFees": "Umetumia {amount} katika ada za ATM mwezi huu",
"rallyAlertsMessageCheckingAccount": "Kazi nzuri! Kiwango cha akaunti yako ya hundi kimezidi cha mwezi uliopita kwa {percent}.",
"shrineMenuCaption": "MENYU",
"shrineCategoryNameAll": "ZOTE",
"shrineCategoryNameAccessories": "VIFUASI",
"shrineCategoryNameClothing": "MAVAZI",
"shrineCategoryNameHome": "NYUMBANI",
"shrineLoginUsernameLabel": "Jina la mtumiaji",
"shrineLoginPasswordLabel": "Nenosiri",
"shrineCancelButtonCaption": "GHAIRI",
"shrineCartTaxCaption": "Ushuru:",
"shrineCartPageCaption": "KIKAPU",
"shrineProductQuantity": "Kiasi: {quantity}",
"shrineProductPrice": "x {price}",
"shrineCartItemCount": "{quantity,plural, =0{HAKUNA BIDHAA}=1{BIDHAA 1}other{BIDHAA {quantity}}}",
"shrineCartClearButtonCaption": "ONDOA KILA KITU KWENYE KIKAPU",
"shrineCartTotalCaption": "JUMLA",
"shrineCartSubtotalCaption": "Jumla ndogo:",
"shrineCartShippingCaption": "Usafirishaji:",
"shrineProductGreySlouchTank": "Fulana yenye mikono mifupi",
"shrineProductStellaSunglasses": "Miwani ya Stella",
"shrineProductWhitePinstripeShirt": "Shati nyeupe yenye milia",
"demoTextFieldWhereCanWeReachYou": "Je, tunawezaje kuwasiliana nawe?",
"settingsTextDirectionLTR": "Kushoto kuelekea kulia",
"settingsTextScalingLarge": "Kubwa",
"demoBottomSheetHeader": "Kijajuu",
"demoBottomSheetItem": "Bidhaa ya {value}",
"demoBottomTextFieldsTitle": "Sehemu za maandishi",
"demoTextFieldTitle": "Sehemu za maandishi",
"demoTextFieldSubtitle": "Mstari mmoja wa maandishi na nambari zinazoweza kubadilishwa",
"demoTextFieldDescription": "Sehemu za maandishi huwaruhusu watumiaji kuweka maandishi kwenye kiolesura. Kwa kawaida huwa zinaonekana katika fomu na vidirisha.",
"demoTextFieldShowPasswordLabel": "Onyesha nenosiri",
"demoTextFieldHidePasswordLabel": "Ficha nenosiri",
"demoTextFieldFormErrors": "Tafadhali tatua hitilafu zilizo katika rangi nyekundu kabla ya kuwasilisha.",
"demoTextFieldNameRequired": "Ni sharti ujaze jina.",
"demoTextFieldOnlyAlphabeticalChars": "Tafadhali weka herufi za kialfabeti pekee.",
"demoTextFieldEnterUSPhoneNumber": "(###) ###-#### - Weka nambari ya simu ya Marekani.",
"demoTextFieldEnterPassword": "Tafadhali weka nenosiri.",
"demoTextFieldPasswordsDoNotMatch": "Manenosiri hayalingani",
"demoTextFieldWhatDoPeopleCallYou": "Je, watu hukuitaje?",
"demoTextFieldNameField": "Jina*",
"demoBottomSheetButtonText": "ONYESHA LAHA YA CHINI",
"demoTextFieldPhoneNumber": "Nambari ya simu*",
"demoBottomSheetTitle": "Laha ya chini",
"demoTextFieldEmail": "Barua Pepe",
"demoTextFieldTellUsAboutYourself": "Tueleze kukuhusu (k.m., andika kazi unayofanya au mambo unayopenda kupitishia muda)",
"demoTextFieldKeepItShort": "Tumia herufi chache, hili ni onyesho tu.",
"starterAppGenericButton": "KITUFE",
"demoTextFieldLifeStory": "Hadithi ya wasifu",
"demoTextFieldSalary": "Mshahara",
"demoTextFieldUSD": "USD",
"demoTextFieldNoMoreThan": "Zisizozidi herufi 8.",
"demoTextFieldPassword": "Nenosiri*",
"demoTextFieldRetypePassword": "Andika tena nenosiri*",
"demoTextFieldSubmit": "TUMA",
"demoBottomNavigationSubtitle": "Usogezaji katika sehemu ya chini na mwonekano unaofifia kwa kupishana",
"demoBottomSheetAddLabel": "Ongeza",
"demoBottomSheetModalDescription": "Laha ya kawaida ya chini ni mbadala wa menyu au kidirisha na humzuia mtumiaji kutumia sehemu inayosalia ya programu.",
"demoBottomSheetModalTitle": "Laha ya kawaida ya chini",
"demoBottomSheetPersistentDescription": "Laha endelevu ya chini huonyesha maelezo yanayojaliza maudhui ya msingi ya programu. Laha endelevu ya chini huendelea kuonekana hata wakati mtumiaji anatumia sehemu zingine za programu.",
"demoBottomSheetPersistentTitle": "Laha endelevu ya chini",
"demoBottomSheetSubtitle": "Laha za kawaida na endelevu za chini",
"demoTextFieldNameHasPhoneNumber": "Nambari ya simu ya {name} ni {phoneNumber}",
"buttonText": "KITUFE",
"demoTypographyDescription": "Ufafanuzi wa miundo mbalimbali ya taipografia inayopatikana katika Usanifu Bora.",
"demoTypographySubtitle": "Miundo yote ya maandishi iliyobainishwa",
"demoTypographyTitle": "Taipografia",
"demoFullscreenDialogDescription": "Sifa ya fullscreenDialog hubainisha iwapo ukurasa ujao ni wa kidirisha cha kawaida cha skrini nzima",
"demoFlatButtonDescription": "Kitufe bapa huonyesha madoadoa ya wino wakati wa kubonyeza lakini hakiinuki. Tumia vitufe bapa kwenye upau wa vidhibiti, katika vidirisha na kulingana na maandishi yenye nafasi",
"demoBottomNavigationDescription": "Sehemu za chini za viungo muhimu huonyesha vituo vitatu hadi vitano katika sehemu ya chini ya skrini. Kila kituo kinawakilishwa na aikoni na lebo ya maandishi isiyo ya lazima. Aikoni ya usogezaji ya chini inapoguswa, mtumiaji hupelekwa kwenye kituo cha usogezaji cha kiwango cha juu kinachohusiana na aikoni hiyo.",
"demoBottomNavigationSelectedLabel": "Lebo iliyochaguliwa",
"demoBottomNavigationPersistentLabels": "Lebo endelevu",
"starterAppDrawerItem": "Bidhaa ya {value}",
"demoTextFieldRequiredField": "* inaonyesha sehemu ambayo sharti ijazwe",
"demoBottomNavigationTitle": "Usogezaji katika sehemu ya chini",
"settingsLightTheme": "Meupe",
"settingsTheme": "Mandhari",
"settingsPlatformIOS": "iOS",
"settingsPlatformAndroid": "Android",
"settingsTextDirectionRTL": "Kulia kuelekea kushoto",
"settingsTextScalingHuge": "Kubwa",
"cupertinoButton": "Kitufe",
"settingsTextScalingNormal": "Ya Kawaida",
"settingsTextScalingSmall": "Ndogo",
"settingsSystemDefault": "Mfumo",
"settingsTitle": "Mipangilio",
"rallyDescription": "Programu ya fedha ya binafsi",
"aboutDialogDescription": "Ili uangalie msimbo wa programu hii, tafadhali tembelea {value}.",
"bottomNavigationCommentsTab": "Maoni",
"starterAppGenericBody": "Mwili",
"starterAppGenericHeadline": "Kichwa",
"starterAppGenericSubtitle": "Kichwa kidogo",
"starterAppGenericTitle": "Kichwa",
"starterAppTooltipSearch": "Tafuta",
"starterAppTooltipShare": "Shiriki",
"starterAppTooltipFavorite": "Kipendwa",
"starterAppTooltipAdd": "Ongeza",
"bottomNavigationCalendarTab": "Kalenda",
"starterAppDescription": "Muundo wa kuanzisha unaobadilika kulingana na kifaa",
"starterAppTitle": "Programu ya kuanza",
"aboutFlutterSamplesRepo": "Hifadhi ya Github ya sampuli za Flutter",
"bottomNavigationContentPlaceholder": "Kishikilia nafasi cha kichupo cha {title}",
"bottomNavigationCameraTab": "Kamera",
"bottomNavigationAlarmTab": "Kengele",
"bottomNavigationAccountTab": "Akaunti",
"demoTextFieldYourEmailAddress": "Anwani yako ya barua pepe",
"demoToggleButtonDescription": "Vitufe vya kugeuza vinaweza kutumiwa kuweka chaguo zinazohusiana katika vikundi. Ili kusisitiza vikundi vya vitufe vya kugeuza vinavyohusiana, kikundi kinafaa kushiriki metadata ya kawaida",
"colorsGrey": "KIJIVU",
"colorsBrown": "HUDHURUNGI",
"colorsDeepOrange": "RANGI YA MACHUNGWA ILIYOKOLEA",
"colorsOrange": "RANGI YA MACHUNGWA",
"colorsAmber": "KAHARABU",
"colorsYellow": "MANJANO",
"colorsLime": "RANGI YA NDIMU",
"colorsLightGreen": "KIJANI KISICHOKOLEA",
"colorsGreen": "KIJANI",
"homeHeaderGallery": "Matunzio",
"homeHeaderCategories": "Aina",
"shrineDescription": "Programu ya kisasa ya uuzaji wa rejareja",
"craneDescription": "Programu ya usafiri iliyogeuzwa kukufaa",
"homeCategoryReference": "MIUNDO NA MAUDHUI YA MAREJELEO",
"demoInvalidURL": "Imeshindwa kuonyesha URL:",
"demoOptionsTooltip": "Chaguo",
"demoInfoTooltip": "Maelezo",
"demoCodeTooltip": "Sampuli ya Msimbo",
"demoDocumentationTooltip": "Uwekaji hati wa API",
"demoFullscreenTooltip": "Skrini Nzima",
"settingsTextScaling": "Ubadilishaji ukubwa wa maandishi",
"settingsTextDirection": "Mwelekeo wa maandishi",
"settingsLocale": "Lugha",
"settingsPlatformMechanics": "Umakanika wa mfumo",
"settingsDarkTheme": "Meusi",
"settingsSlowMotion": "Mwendopole",
"settingsAbout": "Kuhusu Matunzio ya Flutter",
"settingsFeedback": "Tuma maoni",
"settingsAttribution": "Imebuniwa na TOASTER mjini London",
"demoButtonTitle": "Vitufe",
"demoButtonSubtitle": "Bapa, iliyoinuliwa, mpaka wa mstari na zaidi",
"demoFlatButtonTitle": "Kitufe Bapa",
"demoRaisedButtonDescription": "Vitufe vilivyoinuliwa huongeza kivimbe kwenye miundo iliyo bapa kwa sehemu kubwa. Vinasisitiza utendaji kwenye nafasi pana au yenye shughuli nyingi.",
"demoRaisedButtonTitle": "Kitufe Kilichoinuliwa",
"demoOutlineButtonTitle": "Kitufe chenye Mpaka wa Mstari",
"demoOutlineButtonDescription": "Vitufe vya mipaka ya mistari huwa havipenyezi nuru na huinuka vinapobonyezwa. Mara nyingi vinaoanishwa na vitufe vilivyoinuliwa ili kuashiria kitendo mbadala, cha pili.",
"demoToggleButtonTitle": "Vitufe vya Kugeuza",
"colorsTeal": "SAMAWATI YA KIJANI",
"demoFloatingButtonTitle": "Kitufe cha Kutenda Kinachoelea",
"demoFloatingButtonDescription": "Kitufe cha kutenda kinachoelea ni kitufe cha aikoni ya mduara kinachoelea juu ya maudhui ili kukuza kitendo cha msingi katika programu.",
"demoDialogTitle": "Vidirisha",
"demoDialogSubtitle": "Rahisi, arifa na skrini nzima",
"demoAlertDialogTitle": "Arifa",
"demoAlertDialogDescription": "Kidirisha cha arifa humjulisha mtumiaji kuhusu hali zinazohitaji uthibitisho. Kidirisha cha arifa kina kichwa kisicho cha lazima na orodha isiyo ya lazima ya vitendo.",
"demoAlertTitleDialogTitle": "Arifa Yenye Jina",
"demoSimpleDialogTitle": "Rahisi",
"demoSimpleDialogDescription": "Kidirisha rahisi humpa mtumiaji chaguo kati ya chaguo nyingi. Kidirisha rahisi kina kichwa kisicho cha lazima kinachoonyeshwa juu ya chaguo.",
"demoFullscreenDialogTitle": "Skrini nzima",
"demoCupertinoButtonsTitle": "Vitufe",
"demoCupertinoButtonsSubtitle": "Vitufe vya muundo wa iOS",
"demoCupertinoButtonsDescription": "Kitufe cha muundo wa iOS. Huchukua maandishi na/au aikoni ambayo hufifia nje na ndani inapoguswa. Huenda kwa hiari ikawa na mandharinyuma.",
"demoCupertinoAlertsTitle": "Arifa",
"demoCupertinoAlertsSubtitle": "Vidirisha vya arifa vya muundo wa iOS.",
"demoCupertinoAlertTitle": "Arifa",
"demoCupertinoAlertDescription": "Kidirisha cha arifa humjulisha mtumiaji kuhusu hali zinazohitaji uthibitisho. Kidirisha cha arifa kina kichwa kisicho cha lazima, maudhui yasiyo ya lazima na orodha isiyo ya lazima ya vitendo. Kichwa huonyeshwa juu ya maudhui na vitendo huonyeshwa chini ya maudhui.",
"demoCupertinoAlertWithTitleTitle": "Arifa Yenye Kichwa",
"demoCupertinoAlertButtonsTitle": "Arifa Zenye Vitufe",
"demoCupertinoAlertButtonsOnlyTitle": "Vitufe vya Arifa Pekee",
"demoCupertinoActionSheetTitle": "Laha la Kutenda",
"demoCupertinoActionSheetDescription": "Laha ya kutenda ni muundo mahususi wa arifa unaompa mtumiaji seti ya chaguo mbili au zaidi zinazohusiana na muktadha wa sasa. Laha ya kutenda inaweza kuwa na kichwa, ujumbe wa ziada na orodha ya vitendo.",
"demoColorsTitle": "Rangi",
"demoColorsSubtitle": "Rangi zote zilizobainishwa mapema",
"demoColorsDescription": "Rangi na seti ya rangi isiyobadilika ambayo inawakilisha safu ya rangi ya Usanifu Bora.",
"buttonTextEnabled": "ENABLED",
"buttonTextDisabled": "DISABLED",
"buttonTextCreate": "Fungua",
"dialogSelectedOption": "Umechagua: \"{value}\"",
"dialogDiscardTitle": "Ungependa kufuta rasimu?",
"dialogLocationTitle": "Ungependa kutumia huduma ya mahali ya Google?",
"dialogLocationDescription": "Ruhusu Google isaidie programu kutambua mahali. Hii inamaanisha kutuma data isiyokutambulisha kwa Google, hata wakati hakuna programu zinazotumika.",
"dialogCancel": "GHAIRI",
"dialogDiscard": "ONDOA",
"dialogDisagree": "KATAA",
"dialogAgree": "KUBALI",
"dialogSetBackup": "Weka akaunti ya kuhifadhi nakala",
"colorsBlueGrey": "SAMAWATI YA KIJIVU",
"dialogShow": "ONYESHA KIDIRISHA",
"dialogFullscreenTitle": "Kidirisha cha Skrini Nzima",
"dialogFullscreenSave": "HIFADHI",
"dialogFullscreenDescription": "Onyesho la kidirisha cha skrini nzima",
"cupertinoButtonEnabled": "Enabled",
"cupertinoButtonDisabled": "Disabled",
"cupertinoButtonWithBackground": "Na Mandharinyuma",
"cupertinoAlertCancel": "Ghairi",
"cupertinoAlertDiscard": "Ondoa",
"cupertinoAlertLocationTitle": "Ungependa kuruhusu \"Ramani\" zifikie maelezo ya mahali ulipo unapotumia programu?",
"cupertinoAlertLocationDescription": "Mahali ulipo sasa pataonyeshwa kwenye ramani na kutumiwa kwa maelekezo, matokeo ya utafutaji wa karibu na muda uliokadiriwa wa kusafiri.",
"cupertinoAlertAllow": "Ruhusu",
"cupertinoAlertDontAllow": "Usiruhusu",
"cupertinoAlertFavoriteDessert": "Chagua Kitindamlo Unachopenda",
"cupertinoAlertDessertDescription": "Tafadhali chagua aina unayoipenda ya kitindamlo kwenye orodha iliyo hapa chini. Uteuzi wako utatumiwa kuweka mapendeleo kwenye orodha iliyopendekezwa ya mikahawa katika eneo lako.",
"cupertinoAlertCheesecake": "Keki ya jibini",
"cupertinoAlertTiramisu": "Tiramisu",
"cupertinoAlertApplePie": "Mkate wa Tufaha",
"cupertinoAlertChocolateBrownie": "Keki ya Chokoleti",
"cupertinoShowAlert": "Onyesha Arifa",
"colorsRed": "NYEKUNDU",
"colorsPink": "WARIDI",
"colorsPurple": "ZAMBARAU",
"colorsDeepPurple": "ZAMBARAU ILIYOKOLEA",
"colorsIndigo": "NILI",
"colorsBlue": "SAMAWATI",
"colorsLightBlue": "SAMAWATI ISIYOKOLEA",
"colorsCyan": "SAMAWATI-KIJANI",
"dialogAddAccount": "Ongeza akaunti",
"Gallery": "Matunzio",
"Categories": "Aina",
"SHRINE": "MADHABAHU",
"Basic shopping app": "Programu ya msingi ya ununuzi",
"RALLY": "MASHINDANO YA MAGARI",
"CRANE": "KORONGO",
"Travel app": "Programu ya usafiri",
"MATERIAL": "NYENZO",
"CUPERTINO": "CUPERTINO",
"REFERENCE STYLES & MEDIA": "MIUNDO NA MAUDHUI YA MAREJELEO"
}